Sunday, May 10, 2015

Matokeo ya form four yanategemea shule kuwa na walimu wenye sifa na moyo wa kujituma pia na vifaa vya sayansi

Jaalab Enterprises inawapa taarifa wenye shule na walimu wakuu kuwa sasa waweza kupata vifaa vya sayansi kwa bei nafuu mpaka shuleni kwako kwa kuchangia gharama nusu ya usafiri. Tutakuuzia kwa bei nafuu na kuvipanga kwenye maabara yako, pia utapata kompyuta yenye kutumia video kufundisha masomo ya sayansi na hesabu kama mwalimu hayupo au walimu hawatoshi na hii ni kukabiliana na upungufu wa walimu sehemu za vijijini na hata mjini.

Wasiliana nasi kwa simu au email, maelezo zaidi tembelea tovuti yetu: www.jaalabenterprises.com




1 comment: