Sunday, May 10, 2015

Shule zenye maabara na walimu wenye kujituma wa sayansi zafaulu vizuri mwaka 2015

Kutokana na utafiti wa kampuni ya muda mrefu katika usambazaji na ujengaji wa maabara mashuleni imebaini kuwa wateja wake waliokuwa na vifaa vya sayansi vya kutosha na walimu wenye bidii kufundisha masomo ya sayansi shule zao zimefaulu vizuri katika masomo ya sayansi.

Kutokana na utafiti huu sasa Kampuni ya Jaalab Enterprises imepunguza bei ya vifaa hivi ili kuwa rahisi kwa shule nyingi kuvipata na kurahisisha ufundushaji wa masomo haya muhimu katika karne hii ya sayansi na tekinologia, sambamba na hilo pia kampuni hii itakuwa inauza na kompyuta kwa bei nafuu sana zenye kufundisha kwa njia ya video ili shule zisizokuwa na walimu wa kutosha zitumie video kufundisha masomo ya Hesabu na Sayansi.





1 comment: