Sunday, May 10, 2015

Wanafunzi wapenda masomo ya sayansi baada ya kuanza kufundishwa kwa vitendo

Hii imebainika baada ya maabara za kisasa kuanza kujengwa na walimu kuwa na moyo wa kufundisha masomo ya sayansi katika baadhi ya shule nchini.

Hii itasaidia kuwashawishi vijana kupenda masomo ya sayansi badala ya kuyakimbia kwa kuwa yalikuwa yanafundishwa kwa nadharia na hii ilikuwa inamfanya mwanafunzi asiwe na motisha wa kuyapenda.

Sasa wenye shule na wakuu washule wajitahidi kuboresha miundo mbinu kwa kuongeza vifaa na kutumia hata Kompyuta kufundisha mashuleni kwa njia ya video kama walimu hawapo au hawatoshi ili taifa letu lipate rasili mali watu wenye kufaa zaidi kwenye dunia hii yeneye ushindani mkubwa katika kila sekta.

 


No comments:

Post a Comment