Sunday, May 10, 2015

Tunajenga Maabara za sayansi za kisasa na kuuza vifaa vya maabara kwa bei nafuu

Jaalab Enterprises Ltd ni kampuni yenye kufanya shughuli za ujenzi wa majengo, barabara, madaraja, kusambaza vifaa vya sayansi mashuleni na kujenga maabara za kisasa kwa mujibu wa Wizara ya Elimu Tanzania. Pia tunajenga lab za kompyuta za kufanya Networking moja kwa moja ili kurahisisha ufundishaji shuleni na vyuoni.

 

 


No comments:

Post a Comment